Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday 23 February 2013

OMOTOLA JALADE AITEKA HOLLYWOOD

Mambo yanaonekana kumnyookea the Nollywood screen diva Omotola Jalade Ekeinde kwa kupata nafasi ya ku-act katika tamthiliya moja huko Hollywood! Series hiyo inaitwa ‘The Bounce’. Omotola a.k.a Omosex alionekana huko Paramount Lot, Hollywood ambako series hiyo inashutiwa!


Omotola alionekana akiwa pamoja na Akon ambaye pia atashiriki katika series hiyo. Mastaa wengine washiriki wa "The Bounce" ni Kimberly Elise na Dean Cain. Haijafahamika bado Omotola ataonekana katika nafasi ipi na episodes ngapi so far!

On top of that Omosex ata-appear katika sherehe za utoaji tuzo za Oscar, kesho usiku!



No comments:

Post a Comment