Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 6 September 2012

ALI DAXX AONDOKA RASMI NCHINI KWENDA SOUTH AFRICA




We all know Ally 'Daxx' Hassan ambaye ni model wa siku nyingi hapa Tanzania alikula shavu la mwaka mmoja la kwenda kufanya kazi na modeling agency ya South Africa iitwayo Ice Model Management.
Kwa taarifa yako ni kuwa Daxx aliondoka rasmi nchini jana kwenda kufanya kazi as a model chini ya agency hiyo ambayo ni miongoni mwa agency kubwa barani Africa.
Daxx ambaye ataungana na Millen Mgesse aliyeko chini ya agency hiyo ataripoti rasmi kazini siku ya Jumatatu ijayo.
We wish you lucky hommie kwenye kazi yako.

No comments:

Post a Comment