Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 26 September 2012

AKON ATHIBITISHA KUPIGA SHOW NCHINI KENYA TAREHE 27 OCTOBER 2012


Kama kuna msanii wa kimataifa anayeongoza kwa kuwalisha hasara mapromota wa Kenya kwa kukubaliana nao kuwepo kwenye shows zao wanazoziandaa huku wakitangaza yeye kuwepo na mwisho wa siku kutokuwepo bila shaka Akon atakuwa anaongoza.
Baada ya kuwakoseshea uaminifu promoters wengi wa nchi ya Kibaki kutokana na usanii wake huo, hii leo Akon amaelazimika kudhibitisha mwenyewe  kuwepo kwenye show itakayofanyika nchini humo mwezi wa kumi kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa show iliyotangazwa yeye kuwepo nchini Kenya ipo hivyo wala bata wajipange.
Show yake itafanyika Jumamosi ya mwezi wa kumi tarehe 27th, 2012 at Carivore Grounds . 
Uhakika uko hapa....

No comments:

Post a Comment