Kutoka Mombasa, Kenya mzungu mmoja aliyetambulika kwa jina la Christopher Clement Weisssenrieder raia wa Switzeland ametiwa mbaroni baada ya kuwafanyisha ngono wanawake 11 na mbwa wake na kuwarekodi.
Mtandao wa NY Post umeibuka na
ripoti kuwa mke wa Jay Z, Beyonce anatarajia mtoto wa pili kwa kuwa sasa hivi
ana ujauzito! Beyonce ambaye sasa hivi yupo katika tour ndefu ya kimuziki juzi
akti alionekana kitumbo kimetokeza alipotupia kigauni akizungushia na mkanda
kiunoni. Blogs mbalimbali pia zimetoa picha kadhaa zinazoonyesha vizuri eneo la
tumbo la Bey kuwa sasa mabo yamejipa tayari kumpokea mtoto wa pili!
Jay Z ametoa mlolongo wa shows zake atakazopiga kwa wiki 7 kuizunguka dunia kwa dhumuni la kuleta ufahamu juu ya tatizo la maji. Tour hii ndefu itaanza Septemba 9 huko Krakow, Poland. Jay Z atadondoka Dar na atagonga show hiyo tarehe 4 Octoba pale Diamond Jubilee. Na hii ndio list ndefu ya tour ya Jay Z:-
Sept. 9: Krakow, Poland (Coca-Cola SW Live Festival) Sept. 10: Bratislava, Slovakia (Incheba) Sept. 15: Amsterdam (Heineken Music Hall) Sept. 16: Germany (TBA) Sept. 18: Istanbul (Refresh the Venue) Sept. 19: Athens (Olympic Arena) Sept. 21: Manchester, England (Evening News Arena) Sept. 22: Glasgow (SECC) Sept. 23: Birmingham, England (National Indoor Arena) Sept. 24: London (Wembley Arena) Sept. 26: Dublin (the Point) Sept. 27: London (Royal Albert Hall) Sept. 29: Paris (Le Zenith) Sept. 30: Milan (Fiera di Milano) Oct. 2: Barcelona (Teatro Heineken) Oct. 4: Dar es Salaam, Tanzania (Diamond Jubilee) Oct. 6: Accra, Ghana (Accra Conference Center) Oct. 7: Lagos, Nigeria (Ocean View) Oct. 9: Luanda, Angola (Cine Karl Max) Oct. 11: Cape Town, South Africa (Belleville Velodrome) Oct. 13: Durban, South Africa (ABSA Stadium Outer Fields) Oct. 14: Johannesburg (Coca Cola Dome) Oct. 17: Hong Kong (TBA) Oct. 18: Bangkok, Thailand (BEC Tero Hall) Oct. 20: Seoul, Korea (Walker Hill Gayagum Concert Hall) Oct. 21: Taipei, Taiwan (Taipei Dome) Oct. 23: Singapore, Singapore (Suntec City Concert Hall) Oct. 25: Sydney (Entertainment Centre) Oct. 27: Brisbane, Australia (Entertainment Centre) Oct. 28: Melbourne (Rod Laver Arena)
Kufuatia majibu ya Ruge Mutahaba kwa Lady Jay Dee hivi majuzi kupitia redio yake binafsi ya Clouds Fm 'Super Brand', kesho asubuhi katika kipindi cha Sunrise cha Times Fm 100.5 Lady Jay Dee a.k.a Anaconda atarudisha mapigo kwa kujibu maswali yote au hoja zote zilizowekwa mezani na Ruge. Zaidi ya hapo Jay Dee ameahidi kuibua mapya kabisa ambayo hajawahi kuyasema hapo kabla.
US rapper and entertainer, Nicki Minaj alisaula nguo zote katika upigaji picha wa gazeti la KING huko USA. Haijafahamika ni kiasi gani cha mkwanja Minaj amevuta lakini it is to be a huge bundle of money!