Kufuatia majibu ya Ruge Mutahaba kwa Lady Jay Dee hivi majuzi kupitia redio yake binafsi ya Clouds Fm 'Super Brand', kesho asubuhi katika kipindi cha Sunrise cha Times Fm 100.5 Lady Jay Dee a.k.a Anaconda atarudisha mapigo kwa kujibu maswali yote au hoja zote zilizowekwa mezani na Ruge. Zaidi ya hapo Jay Dee ameahidi kuibua mapya kabisa ambayo hajawahi kuyasema hapo kabla.
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Thursday, 9 May 2013
Wednesday, 8 May 2013
NICKI MINAJ APIGA PICHA UCHI KATIKA GAZETI!
US rapper and entertainer, Nicki Minaj alisaula nguo zote katika upigaji picha wa gazeti la KING huko USA. Haijafahamika ni kiasi gani cha mkwanja Minaj amevuta lakini it is to be a huge bundle of money!
JA RULE ATOKA JELA
Ja Rule alihukumiwa kwenda jela miaka 2 mnamo mwaka
2010 baada ya kukutwa na hatia ya kumiliki silaha bila kibali. Mwezi mmoja
baada ya kuanza kutumikia kifungo chake, mnamo June, 2011 alikutwa na hatia
nyingine ya kukwepa kulipa kodi na hapo ndipo akaongezewa miezi 28 jela!
Monday, 6 May 2013
PAUL WA P-SQUARE AKATAA MTOTO WA PILI!
Katika kipindi kisichopungua mwezi mmoja, Paul Okoye amepata mtoto wa pili, tarehe 11 April demu wake wa siku nyingi, Anita alijifungua mtoto wa kiume, Andre Paul Okoye. Na sasa kuna taarifa zinasema kuwa demu wake mwingine, Elshama Benson Igbanoi, 19, amejifungua mtoto wa kiume huko Queen Charlotte and Chelsea Hospital, London na kupewa jina la Michelle Paul Okoye.
Chakushangaza Paul amemkataa mtoto huyo huku akiahidi kutua London ili kufanya DNA test kabla ya kukubali wajibu wake kwa mtoto kama baba. Baba wa binti huyo, Mzee Igbanoi amesema kuwa ameshamtumia e-mails za kutosha Paul toka binti yake akiwa mjamzito mpaka anajifungua lakini Paul hajajibu lolote.
Kuona hivyo Familia ya Mzee Igbanoi imeshafanya utaratibu wa kuwasiliana na Baba na Shangazi wa Paul huku akikazia kuwa binti yake hajawahi kuwa na mwanaume mwingine isipokuwa msanii huyo Paul Okoye ambaye ndiye alimtoa bikira Elshama akiwa na umri wa miaka 17.
Mpaka sasa bado gharama za hospitali zinazozidi pauni 5,000 hazijalipwa na Elshama. Inasemekana kuwa Elshama ni rafiki pia wa Anita, msichana aliyemzalia huyuhuyu Paul Okoye mtoto wa kwanza tarehe 11 mwezi huu!
![]() |
| Michelle Paul Okoye |
Kuona hivyo Familia ya Mzee Igbanoi imeshafanya utaratibu wa kuwasiliana na Baba na Shangazi wa Paul huku akikazia kuwa binti yake hajawahi kuwa na mwanaume mwingine isipokuwa msanii huyo Paul Okoye ambaye ndiye alimtoa bikira Elshama akiwa na umri wa miaka 17.
![]() |
| Elshama |
![]() |
| Paul Okoye na mtoto wake wa kwanza, Andre Okoye |
Saturday, 4 May 2013
JUSTIN BIEBER ASIMAMISHA SHOW KUPISHA SWALA
Kipenzi cha walimbwende, Justin Bieber juzi Alhamiis alisimamisha show yake ili kupisha waumini wa dini ya Kiislamu kuswali (Waumini wa dini hiyo huswali mara tano kwa siku). Na baada ya swala dogo aliendeleza makamuzi kama kawaida. Hii ilitokea jijini Istanbul, Uturuki katika concert iliyofanyika Technical University sports arena.
Kupitia akaunti mbalimbali twitter za mashabiki wake walipendezeshwa na tukio hilo na kuandika hivi:-

Pamoja na hayo bado Justin Bieber amekutana na vikwazo mbalimbali katika nchini za Kiarabu vikiwemo kufutwa kwa show yake huko Oman kwa vile shows zake huchochea ngono kwa vijana!
Subscribe to:
Posts (Atom)






