Ni Svetlana Pankratova. Ni mcheza basketball wa zamani raia wa Urusi mwenye kimo cha futi 6 na nchi 5 (1.96 m). Miguu yake ina urefu wa futi 4 na nchi 4 (1.32 m)
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Monday, 25 March 2013
MTOTO WA MIAKA 8 AOA KIBIBI CHA MIAKA 61!
Dogo wa miaka 8, Sanele Masilela, amefunga ndoa na kibibi cha miaka 61. Dogo huyo ambaye ni mwanafunzi wa Primary school ameushangaza Ulimengu kwa kumuoa ajuza Helen Shabangu huko Tshwane, South Africa.
Ingawa ndoa hiyo haitambuliki kisheria lakini dogo amekomaa kwa kusema kuwa sasa anajihisi ni mme kamili na ana wajibu kwa ndoa yake akiwa kama mme!
Dogo alifunguka haya katika siku ya ndoa yake na kuwaacha wahudhuriaji wa ndo hiyo vinywa wazi, "Leo ni siku kubwa kwetu (mimi na mke wangu) kama vile nilivyoitarajia. Marafiki zangu walifikiri na wanaona ni vichekesho nilipofunga ndoa hii lakini mimi najiona ni mwenye furaha na kujihisi kama mme kamili sasa"
![]() |
| Bwana Sanele Masilela na Bi. Harusi Helen Shabangu |
![]() |
| Bwana na Bi Harusi wakipata chakula cha usiku! |
HAIHUU!!
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj alinaswa na kamera akiwa nyuma ya gari lake aina ya Maybach akiwa ameuchapa 'fofofo' huku mguu mmoja ukiwa Magharibi na mwingine Mashariki ya mbali!
Thursday, 21 March 2013
MASTAA WALIOREKEBISHA VINYWA VYAO
Hawa ni baadhi ya mastaa waliorekebisha vinywa vyao kwa kufanya operesheni na kufanya meno yao kupangika vizuri hivyo midomo yao kupata taswira nzuri!
1. Celine Dion
2. Keyshia Cole
3. Ludacris
4. Mike Tyson
5. Nichola Cage
Tuesday, 19 March 2013
OBAMA AFANANISHWA NA SHETANI!
Kupitia kituo cha television cha History Channel, tamthiliya ya "The Bible" inayoonyeshwa kupitia channel hiyo imekuwa gumzo kutokana na 'shetani' anayeonekana katika movie hiyo kufanana na rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama.
Tamthiliya hii ya kidini imetengenezwa na Mark
Burnett na kuchezwa na Mehdi Ouzaani imevuta hisia za watazamaji wengi na kwa kuonekana kwake siku ya Jumatano iliyopita imeweza kutazamwa na watazamaji milioni 13.1
Subscribe to:
Posts (Atom)



















