Regina
 Mromi miss Ilala wa zamani akitoa semina fupi kuhusu namna 
kuigiza,mrembo huyu wa zamani ambae yuko katika tasnia ya kuigiza 
amewahakikishia washiriki hao kua baada ya kambi kuisha vipaji vya 
waigizaji bora vinakua vimeiva tayari kuingia katika soko la ushindani.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Regina. 
 
No comments:
Post a Comment