We all know rapper wa kike kutoka nchini Uganda Keko yuko jijini Mwanza Eid hii atakapokuwa akiwasha moto ndani ya hoteli ya Star Max.
Singer wa "Make You Dance" ambaye hii ni mara yake ya kwanza kukanyaga ardhi ya Taznania amesema pamoja na kuja Mwanza tayari yupo kwenye mazungumzo
na MwanaFA kwa ajili ya kufanya ngoma pamoja. ‘I am big fan of Mwana FA we are actually
working out something as we speak . I am looking forward and hopefully bumping
to Fid Q when I am in Mwanza, ” amesema.
Ameongeza kuwa kama kuna promoter yeyote wa Dar es Salaam
ambaye angependa kufanya show naye nafasi ipo wazi.