WAshiriki wakijaribu kumfatilia kwa vitendo mwalimu wao ambapo steps zilikuwa ngumu kidogo ila modoz wanajitaidi kumudu japo ilikuwa ni siku ya kwanza.
Ni step kwa step sambamba na mwalimu haina kupoteza point.
Mwendo sebene sasa....watu weweeeeee..!!
mmmmh usiniguse mie..!! 
 Mwalimu
 Bad spencer akitoa maelezo kwa kina washiriki wa Tanzania Top Model 
2013 jinsi ya kutumia viungo vya mwili kutengeneza umbile la kitu 
kingine. 
