Mkurugenzi
 Tanzania Top model Ysufu George akiongea na wanahabari kuhusu ujio wa 
kuweka kambi ya siku 17 ya wanamitindo hao katika Hoteli ya Giraffe 
ocean view iliyomo Frikana jijini Dar.
 Wanamitindo
 wakiwasili leo mapema Giraffe Ocean View Hotel wakitokea Tamar Hotel 
walikokuwa wameweka kambi ya siku mbili baada ya kutokea hotel ja Jb 
Bekmont.
Giraffe
 ocean View Hotel ,hoteli yenye hadhi ya nyota nne,karibu Giraffe upate 
huduma zilizo sawa na thamani ya pesa zako,inasifika kwa ukarimu 
uliopita kiwango.
 
 
 
 
 Mkurugenzi wa shindano la Tanzania Top Model 2013 Bw. Jackson 
Kalikumtima akitangaza rasmi namba ya kupiga kura ili kumchagua mshiriki
 umpendae kushinda taji la Princess of Tanzania.
 
 Bwana Kalikumtima aliyasema hayo keo katika mkutano wa waandishi wa 
habari uliofanika katika hoteli ya Tamar iliyopo mwenge jijini Dar.
Namba
 iliyotangazwa ni 15564 ikiwa ni namba maalumu unatuma ujumbe mfupi wa 
maneno Mfano :  TM Nyanjige kwenda 15564 hapo utakuwa umemwezesha 
mshiriki umpendae kushinda taji. hilo.
 Baadhi
 ya vionjo vya vipindi vya televisheni vitakavyoruka Clouds Tv kila siku
 kuanzia leo usiku saa tatu hadi siku ya fainali vilioneshwa kwa 
waandishi wa habari hii leo
 Huu ndiyo mfumo mpya wa kumchagua mshiriki umpendae.
 Washiriki wa Tanzania Top model wakiwa katika mkutano na waandishi wa Habari hii leo.
 
 
 
 Mpigie kura mshiriki umpendae kwenda namba 15564.
 Mpigie kura mshiriki umpendae kwenda namba 15564.