Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Diamond Platinum
alias Naseeb Abdul ambapo aliadhimisha siku yake hii ya kuzaliwa at
Hotel D'mage -Kinondoni.
Check out ilivyokuwa..
 |
Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu |
 |
Wema na dada yake Diamond aitwaye Esma wakilishana cake |
 |
All the way from UK Naj pia alikuwepo |
 |
Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky |
 |
Diamond akiwa na Mbini pamoja na Dallas ambaye ni boyfriend wa Wolper |
 |
Babu Tale na Naj wakiteta jambo |
 |
Team Sheta |
 |
Dallas tena...... |
 |
Wema na Mboni Masimba |
 |
DOZEN & SHETTA |
 |
Watoto wa Manzese TIPTOP pia ndani |