Camp Mulla wamechaguliwa kuwania tunzo za MTV Europe Music Award kwenye category ya Best African Act.
Crew hii imechaguliwa sambamba na WizKid, ambaye tayari wamesha-record nae ngoma.Wengine waliochaguliwa kushindana nao kwenye category hiyo ni pamoja na Nigerian superstar, D'Banj, Mi Casa wa  South Africa  na  Senegal's Sakordie.
Kwenye tunzo za  BET Awards za mwaka huu, Camp Mulla pia walichaguliwa kwenye category moja na Sarkodie na WizKid, ambaye aliibuka kidedea.
Mapema leo asubuhi, ilitangazwa kuwa  Camp Mulla were nominated for a MOBO Award (Music Of Black Origin)  kwenye category ya  Best African Act. Hawa watoto wamezidi sasa.
Kwenye MOBO Award Camp Mulla watachuana na hawa hapa:
Best African Act 
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D'Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam
Kuwapigia kura Camp Mulla nenda hapa http://www.mobo.com/voting