Salha
 israel mrembo alieng'ara miaka ya 2011 katika mashindano ya urembo 
nchini,akiongea na washiriki wa Tanzania Top Model 2013 namna ya 
kujiamini wakiwa katika jukwaa na kujibu maswali endapo watakabiliana na
 vyombo vya habari.
Washiriki wakimsikiliza kwa makini Salha Israel wakati akiongea nao.
 Washiriki wakiwa katika picha ya paoja na Salha israel.
   Salha Israel.
 Sahaa  and friends.
 Catwalk..one two..one two.
 
No comments:
Post a Comment