American favorite reality Tv star Kim
kardashian a.k.a Mrs Kris Humphries ambaye very soon atakuwa mama wa mtoto wa Kanye West, yupo Lagos na sababu ya uwepo wake ni ku co-host concert ya Darey
Alade, ‘Love Like A Movie’, Eko Hotel, jana usiku!
Hii ni mara ya kwanza kwa KK kwenda Nigeria
na kama kawaida usiku huo alitokelezea na her favorite thing to wear toka aanze
mahusiano na KW, kitu cha Leather! Na kuongezea na Black heels na make up ya wastani.
Kama ilivyotarajiwa na wengi ndivyo
ilivyotokea. KK alifanya kile kilichotakiwa kufanywa na mtu wa level yake kwa
kuipeleka concert international level!
No comments:
Post a Comment