Unaambiwa katika umri wa miezi13 mara nyingi
watoto huanza kutambua taratibu vitu na watu wanaomzunguka tu. Hadithi ni
nyingine kwa binti wa Beyonce na Jay Z, katika umri huo Blue Ivy herself
ameshaanza mpaka kujua kusoma!
Beyonce alisema hayo katika interview yake na
Oprah Winfrey iliyokuwa inahusu documentary yake. “Ana akili sana. Ameshaanza
kusoma maandishi katika vibao. Ni mzuri pia”.
Vibao hivi mara nyingi hutumiwa na wazazi kwa
ajili ya kuwafundishia watoto wao jinsi ya kusoma kwani licha ya kuwa na herufi
pia zina picha.
No comments:
Post a Comment