Siku 10 baada ya kufariki dunia February 14 katika umri
wa miaka 30, kutokana na hypertension masaa machache alipokuwa anarudi kutoka Los
Angeles alipokwenda kushuhudia tuzo za Grammy Goldie Harvey amezikwa leo asubuhi
katika makaburi ya Ikoyi.
Mazishi ya Goldie yalianza saa 4 asubuhi na kushuhudiwa
na watu wachache wakiwemo familia, ndugu na marafiki wachache. Hakuna chombo
chochote cha habari kilichoruhusiwa kuripoti tukio hili!
Andrew Harvey alihudhuria safari ya mwisho ya mke wake
Goldie na alikuwa na ujumbe huu:-
"Susan,
you walked into my life. It was like God sent you as fresh breath. I still
remember your response to my first love message. You said, ‘Love killed Romeo,
sent Diana to an early grave and killed Jack on the Titanic, forget about love,
just have friendship and live long.
Over
time our love grew a depth I have never known. You were the best years of my
life, your smile, your desire to live your dream".
Andrew Harvey |
RIP SUSAN GOLDIE HARVEY |
No comments:
Post a Comment