Apart from music pia ni designer mkali wa
mavazi. But this time around, Beyonce is taking shoe fashion to the next level.
Jay Z’s wife anakuja na kiatu. Kiatu hiki kimetengenezwa kwa materials
mbalimbali basically ngozi za wanyama.
PMZ au
Perfectly Made Kicks ndio kampuni iliyolamba tenda yakutengeneza kiatu hicho. Ngozi
za wanyama zilizotumika mpaka kukamilisha kiatu kimoja kutengenezwa ni pamoja
na ngozi ya mbuni, mamba, ndama na anaconda.
Viatu hivi vimepewa jina “The King-Bey” vimeshaidhinishwa na Beyonce mwenyewe tayari kuingizwa sokoni ingawa
mpaka sasa hakuna bei yoyote iliyotangazwa kwa kila pair moja.Stay tuned!
No comments:
Post a Comment