Ronald
 Williams Aka Slim ambaye ndio C.E.O Wa Cash Money ndiye amenunua nyumba
 ya thamani ya Dollar zaki Marekani Milliom $ 7.15. Ni Nyumba yenye 
vyumba 9 vya kulala ,Mabafu 12. 
Unuunnuzi wa nyumba hii umekuwa wa siri 
sana kitu ambacho ni tafauti na wasanii wa kundi hilio la Cash Money 
huwa wanapenda kutangaza mambo yao yote ya thamani. Ronald ni kaka wa 
Bryan 'Birdman' Williams na ni mmoja wa wadau matajiri sana kwenye mziki
 Marekani mwenye Thamani ya Dollar za Kimarekani Million $100
 








 
No comments:
Post a Comment