Filamu kali na ya kusisimua ya Nankonda wa Mikindani inayotarajia 
kuingia sokoni hivi karibuni ndio itakayokuwa filamu ya kwanza 
kumtambulisha msanii wa  Bongo fleva  kwa jina la Mbwana Mohamed  
aka ‘Mb Dogg’ kuingia katika tasnia ya filamu.
Filamu hiyo ambayo Mb Dogg amacheza kama mhusika mkuu imetayarishwa na Dr. Cool Production company.
“Uwezo alionyesha Mb Dogg ni wa hali ya juu sana, utafikiri alikuwepo katika tasnia ya uigizaji kwa miaka mingi , msanii amebeba uhusika kulingana na hadithi yenyewe nasema ni msanii anayejua kuigiza na hilo mtalismtalishuhudia katika filamu hiyo,” said Mzee Korongo.

No comments:
Post a Comment