Mwanzomi mwa wiki hii huko New Jersey, mama wa watoto wawili,
mwanamuziki Toni Braxton aliwapa mashabiki wake zaidi ya kile
walichokilipia kwaajili ya show hiyo. Wakati akiwa stejini akipiga show hiyo
Toni Braxton, 42, alishangaa akiona sketi yake nyepesi ya metallic
akimvuka na kuacha makalio yake wazi!
Kwa bahati mbaya Toni Braxton hakugundua kuwa sketi
yake imemvuka kwani aligeuka na kuwapa mashabiki mgongo huku akitingisha
makalio yake kwa mbwembwe asijue kinachoendelea kumbe ndio anawamwagia utamu
huku mashabiki wakilipuka kwa shangwe la hatari!
Toni Braxton aliendelea na show mpaka jamaa mmoja alipokwea stejini na kumfunika kwa koti la suti yake.
No comments:
Post a Comment