Itikadi zangu, misimamo yangu, matatizo yangu na mafanikio yangu
Walimwengu wenzangu, haya ndiyo maisha yangu
Najua mwanzo wangu, lakini sijui mwisho wangu
Nani rafiki yangu na nani ni adui yangu
Mbona wote mnacheka mnapokuja mbele yangu
Sijabadilika, bado napiga pilika, nataka kueleweka watu hatujakamilika
Kuna wakati hata mimi najikuta nimechoka
Chochote mtakachosema, mimi sitarudi nyumba…

No comments:
Post a Comment