Kipenzi cha walimbwende, Justin Bieber juzi Alhamiis alisimamisha show yake ili kupisha waumini wa dini ya Kiislamu kuswali (Waumini wa dini hiyo huswali mara tano kwa siku). Na baada ya swala dogo aliendeleza makamuzi kama kawaida. Hii ilitokea jijini Istanbul, Uturuki katika concert iliyofanyika Technical University sports arena.
Kupitia akaunti mbalimbali twitter za mashabiki wake walipendezeshwa na tukio hilo na kuandika hivi:-
Pamoja na hayo bado Justin Bieber amekutana na vikwazo mbalimbali katika nchini za Kiarabu vikiwemo kufutwa kwa show yake huko Oman kwa vile shows zake huchochea ngono kwa vijana!
No comments:
Post a Comment