Kuzungumzia mapenzi yako yaliyopita juuya kitanda uiwa na menzi wako ni sumu kali. Mademu wote hawataki kusikia maongezi haya kwa vile tu atajiskia vibaya na wivu zaidi.
2.
Kulitaja jina la mwanamke mwingine:
Kikawaida demu yoyote anajua kwamba ulikuwa na
wakati mzuri na mademu zako waliopita lakini kila mwanamke anapenda kujisikia
she is the only one in your heart. Hivyo kama ukijifanya kulitaja jina la demu
mwingine on bed basi kuwa tayari kwa lolote hasa kuomba msamaha na kufanya
lolote atakalokuamrisha ili mradi tu uthibitishe kuwa she is the most
beautiful, sexiest and intelligent!
3.
Kumnyamazisha:
“Shssss kaa kimya basii jamaniii” Unahitaji mchuchu akae
kimya wakati umempeleka mwenyewe kileleni!? Acha zako. You have blown her
mind already so mwache mtoto a-enjoy!
4.
Kumlinganisha na demu wako aliyepita:
Mademu wote huhisi wako saw asana kitandani. So
ukisema, “Wewe ni mtamu kama ex-girlfriend wangu”, mara moja utampotezea appetite
ya ku-do na kumtengenezea mwaswali kadhaa likiwemo hili, “Unamfikiria yeye tu
wakati una-do na mimi?”. Na“Ungependa kuwa naye muda huu badala yangu?”
5.
Kujifanya una haraka:
Kumtonya mwanadada kuwa huna muda mwingi wa kukaa naye
hivyo muda si mrefu utasepa, hii itamkata mood kabisa. So ni vizuri kama
unataka kukaa na kuspend na mpenzi wako basi utenge muda wa kutosha naye.
6. Kwenda
chooni hovyo:
Ni balaa. Kidogo tu mtoto wa kiume unafungua mlango
wa chooni. Ni vyema kujipanga kwa kuhakikisha uko vizuri kimwili kwa offload
haja zote kabla hamjaanza mambo yenu!
7. Kupokea simu kila wakati:
Kumbuka huu ni wakati wa faragha kati yako na
mpenzi wako. Kama unahisi simu yako huita kila mara basi vyema ukaweka ‘silent’
ili mkishafanya yenu then uwacheki waliokuwa wakikutafuta na sio simu kuiacha
ikilia na hivyo kukata stimu kabisa za mapenzi!
No comments:
Post a Comment