Ni ngoma ya 'Liberian Girl'. Ndani ya ngoma hii iliyorekodiwa na  kutolewa mwaka 1987 toka katika albam ya 'Bad' ndio ina maneno yasemayo,  'Nakutaka pia, Nakupenda pia, Mpenzi wangu'! Sio kwamba Michael Jackson  alisema moja kwa moja maneno haya kwa Kiswahili bali yeye alitafsiri  maneno hayo kutoka kwa SouthAfrican singer, Letta Mbulu. Alichofanya MJ  ni kutafsiri kutoka Kiswahili moja kwa moja kwenda Kiingereza.
Wataalamu wa mambo wanasema kuwa hii ni heshima kubwa kwa jamii ya Afika Mashariki na Kati pia. 
 
 
No comments:
Post a Comment