Sakata la mauaji ya aliyekuwa
girlfriend wa Oscar Pistorius Reeva Steenkamp limechukua sura mpya baada ya
mtuhumiwa, Oscar Pistorius kufikishwa kwa pilato na kusomewa mashtaka.
Oscar, mkimbiaji wa mbio za miguu
ya bandia, alionekana akifuta machozi pale pilato alipokuwa anasoma mashtaka
dhidi yake. Mahakama imeahirisha masikizano ya dhamana mpaka Jumanne ijayo na
mshtakiwa Oscar amerudishwa rumande.
Oscar Pistorius anakabiliwa na
mashtaka ya kumuua mpenzi wake Reeva
Steenkamp, model, kwa bastola siku ya Valentine’s.
Oscar Pistorius akimwaga machozi mahakamani |
No comments:
Post a Comment