The American actress, singer, and fashion designer, Amanda Bynes, 26, leo hii ameandika katika ukurasa wake wa
twitter na pia ku-attach hata picha kuwa Honorable Mr Carter a.k.a Jay Z ana
sura mbaya. Lakini haukupita muda, aliiondoa picha hiyo bila kuomba radhi!
|  | ||||
| Ukurasa wa Amanda Bynes | 
|  | 
| Amana Bynes | 
Jay Z hakuonekana kujali pengine kwa
kutofahamu lolote kuhusiano na kile alichoandika Amanda na badala yake alikuwa
zake Venice pamoja na mke wake Beyonce na binti yao Blue Ivy!
|  | 
| Mr Ugly face? | 
 

 
No comments:
Post a Comment