Haijawahi kutokea! Kuchorwa tatuu na
huku unanyolewa nywele! Lakini P Diddy amefanya hivyo. Juzi kati Sean Combs alitupia
picha zake katika twitter zikimwonyesha
akinyolewa na kuchorwa tatuu kwa pamoja!
![]() |
Nyoa nywele na chora tatuu |
Diddy aliyekuwa anachora tatuu yenye
neno ‘NEW YORK’ katika mkono wake wa kushoto na kuandika pia katika ukurasa
wake wa twitter, ‘Gettin a Tat and Cut at the same damn time!! These n*****
can't multitask...ha.’
Ijumaa, P Diddy aliweka historia
pale alipopiga fashion show kupitia Instagram baada ya kushindwa kuhudhuria New
York fashion week. Diddy aliandika, “Kupitia technologia ya instagram
tunawaletea Sean John mpaka walipo watea wetu!”
![]() |
Sean Combs |
No comments:
Post a Comment