Ni Lincoln Navigator, gari
iliyotengenezwa mwaka 2011 inayomilikiwa na Daniel Kazibwe aka Ragga Dee, a
local artiste and businessman in Kampala. Gharama yake ni dola milioni 85,000/=
Ragga Dee on his Lincoln Navigator |
Sababu za kununua gari hii:
“Napenda vitu vizuri, siendeshi
gari eti kwa sababu msanii au mtu fulani anaendesha. Nalipenda gari hili
kwasababu lina nafasi ya kutosha, viti 7. Pia linakwambia tatizo lolote katika
computer. Gari hili linakupa taarifa kiasi gani cha mafuta umetumia na
yaliobaki, pia mwelekeo – unapokwenda na ulipo pia!
Tofauti na magari mengine ambayo
inabidi uweke tracking system, lakini gari langu limetengenezwa moja kwa moja
na satellite
tracking system, making it impossible to steal!
Ni
gari pekee lenye AC katika viti. Kiti pia kitaendana na kimo chako pindi
utakapokikalia. Gari hili haliruhusu sauti ya ndani kusikika nje na nje kusikia
ndani. Mfumo wake wa radio unaweza fananisha na public address system.
Usalama
kwanza:
Ina mifuko
28 ya hewa (airbags) na head rests. Katika dashboard, kuna chombo kinachosensi
kilevi! Pia kuna traction control, ukitoka nje ya barabara, traction control
itakupa taarifa. Ina autolights and wipers. Giza likiingia tu taa zenyewe
zinajiwasha, halikadhalika na wipers pindi mvua inaponyesha!
Lina
options mbili, eitha 4WD au 2WD. Kama hautaki kuendesha kwa vikanyagio (pedals),
unaweza endesha kwa switch. Hii husaidia hata kwa walemavu kuendesha bila shida.
Speed ni 260 miles kwa saa (388km kwa saa).
Speed ni 260 miles kwa saa (388km kwa saa).
Gari hili huwezi kulipimp, and if you try to, computer itakataa saying it is
not in the right state to use", Ragga Dee./
No comments:
Post a Comment