Hivi majuzi katika hospitali moja huko US of A, Peter Okoye, pacha katika kundi la P-Square alipata mtoto wa kike toka kwa girlfriend wake wa muda mrefu, Lola Omotoya. Peter aliandika katika ukurasa wake wa twitter na kutangaza mtoto wake huyo wa kike ataitwa Aliona. 
|  | 
| Peter's girlfriend Lola Omotoya na bintiye Aliona | 
|  | 
| Peter Okoye | 
|  | 
| Peter na madaktari | 
 

 
No comments:
Post a Comment