The reality star and Kanye West's baby mama Kim Kardashian hivi majuzi alidondoka nchini Ivory Coast for a few appearances. Kim K, 32 year old star mwenye ujauzito wa miezi minne alitokea katika private party moja huko Life Star Nightclub jijini Abidjan 
with her make up artiste.
|  | 
| Kim Kardashian hupokea dola laki moja kwa kutokea kwa masaa machache katika Nightclubs akiwa USA, haijajulikana alichaji kiasi gani for this appearance and for the next ones! | 
 


 
No comments:
Post a Comment