| Siku chache baada ya Diamond kurejea toka Marekani alikoenda kupiga show bila dancers wake alieonda nao radio mbao zilianza kuvumisha kuwa jamaa kamwagana nao na hawajulikai waliko.Kwa taarifa ya fans wa Diamond ni kuwa issue hiyo si ya kweli....ukweli uko hivi..."Nimeamua kuwaacha marekani kwa ajili ya mapumziko ya muda 
mfupi ili waweze ku-refresh akili na miili yao kwa sababu kiukweli 
wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo 
kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko
 hayo nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho 
soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi 
kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa...", said Diamond. |  | 
 | 
No comments:
Post a Comment