Baada ya kuwepo kwa minong'ono ya chini chini kuhusiana na issue ya Diddy kumu-engage bad boy chick, Cassie latest infoz ni kwamba wawili hawa wameridhia hivi majuzi waliridhia ku-share "mahusiano" yao kweupe.
Wawili hawa kupitia twitter, kila mmoja alipost instagram image ya mwenzake huku wakimwagiana sifa kibao. Kama hukuziona zicheck hapa....
No comments:
Post a Comment