|  | 
| Dickson mwenye t-shirt ya njano alipokuwa na Diamond na dancers wake pindi walipotua Marekani | 
Kweli Dimonds Are Forever.
Baada ya Diamond kutoa bonge la burudani kwa mara ya kwanza ndani ya ardhi ya America huko Washngton DC alikopelekwa na DMK Global & J & P Entertainment ambayo iko chini ya Dickson Mkama ambaye ni Mtezee aishie huko unaambiwa jamaa kaamua kumuongezea shavu la kupiga tours zaidi nchini humo mwezi Novermber.
Dickson ambaye yuko nchini kwa mapumziko mapema hii leo amaeandika hivi kwenye facebook timeline yake,  
"THIS IS SOME SORT OF BREAKIN NEWS....DMK 
GLOBAL & J&P ENT HAVE SIGNED A MOU FOR “DIAMOND ARE FOREVER USA 
TOUR“ COMING SOON IN NVMB IN A CITY NEARS YOU...DATES,CITIES AND VENUES 
TO FOLLOW .... STAY THIRSTY MY FRIENDS HE WILL BE BACK!!!".
 
 
No comments:
Post a Comment