Kuongoza nchi kubwa kama Marekani yataka moyo! Ndio maana Barack
Obama aliamua kuwa na kiwanda cha bia kwenye ikulu ya White House ili
kupunguza stress za cheo hicho kikubwa duniani. Isitoshe kipindi hiki ni kigumu kwake
kwakuwa anaelekea kwenye uchaguzi, so kupiga mtungi si jambo la kushangaza kwake.
Amekuwa rais wa kwanza wa hivi karibuni nchini Marekani
kunywa bia inayotengezwa kwenye Ikulu.
Bia inayotengenezwa
humo imepewa jina la ‘White House Honey Ale’ ikiwa na rangi mbalimbali.
No comments:
Post a Comment