Alimmanage TID enzi hiizooo, kisha akammanage Diamond na baadae Sam wa Ukweli and recently jamaa kasitisha mkataba wa kufanya kazi na Rich Mavoko kabla ya kutimkia kwa crew mpya jijini ya Watanashati ambayo iko chini ya big boss himself aitwaye Uastaadhi Juma na Musoma.
"Tatizo kubwa ambalo tunalo kwenye music industry is that msanii anaona yeye ni mjuaji zaidi kuliko manager and that the success anayopata ni kutokana na nguvu zake, which is very wrong. Imagine manager ndo anayempika msanii, anam-set katika njia ambayo anahisi ni rahisi kuuza kazi zake, anam-brand kama product ili aweze kumnadi kwenye market, anahangaika kumtafutia producers, sponsors, shows, deals, etc.. manager ndo ambaye anafikiria maslahi ya wasanii, anayaweka mbele hata kabla ya kwake mwenyewe. Iweje msanii anapofanikiwa kuitwa star na kuingiza shs mbili mfukoni anamdharau manager wake? mtu aliemtoa from the lowest?? hii mbayaaa"- Maneno.
Anyways, manager Maneno anadai kwamba haimsumbui kuhama from one artist to another infact it makes him proud kwamba Diamond is one of the leading bongo artist tulienaye na anatamani kumuona akifika mbali zaidi.
''Dhana ya kwamba mimi najaribu kuwadidimiza wasanii ambao nimevunja nao mkataba si kweli, mimi nafurahia mafanikio yao, tena natamani sana kuwatengeneza TID wengine kama sita hivi, na Diamond wengine kama watano hivi.. ili bongo flava izidi kukua"
" Tatizo ni kwamba managers wa hapa Tanzania hatuna thamani kama ilivyo kwa wenzetu, tunadharaulika sana.Kwanini tusiunde chama ambacho kitakua na sheria za kutulinda na kutuongoza? hii itatupa msimamo hata kwa wasanii ambao tunawasaidia halafu baadae wanatuona si lolote, si chochote.." added Maneno.
No comments:
Post a Comment