Msanii
 wa Bongo Fleva Diamond amefanya wimbo Mj Records ambao atamshirikisha J
 Martins kutoka Nigeria .Wimbo huo kwa sasa unafanyiwa Final Mixing na 
Marco Chali na verse ya kwanza na Chorus ameshafanya Diamond na Dancer 
wake  Mose Iyobo kwenye chorus .Mose Iyobo ni Dancer wa Diamond anaetaka
 kuanza kuimba na tayari ameshaonyesha uwezo wake kwenye nyimbo hio 
katika chorus . Utengenezwaje wa wimbo hu hauta chukua muda mrefu sana 
kwani tayari J Martins anasubiri wimbo huo na yeye aingize sauti yake 
.Skiliza Power Jams kwa updates kuhusu wimbo huo.
Pia
 Jumatano hii Diamond anaenda Marekani kufanya show Washington DC na hii
 itakuwa mara ya kwanza Diamond kwenda kufanya show Marekani. Kwenye 
safari hii ata safiri na Dancer wake wote wa nne , na mzungumzaji wake 
.Diamond atafanya show kwenye mkutano mkubwa unaofanyika Marekani na 
Ombi la watu watakao kuwa kwenye mkutano huo ni kuwa Diamond ndio msaani
 waliomtaka afanye burudani.
 

 
No comments:
Post a Comment