Kwa masikitiko makubwa, Steven Tyler and Jennifer Lopez wametangaza kuondoka kwenye American Idol.
Siku ya alhamisi Steven Tyler alitangaza kujitoa kwenye American Idol kwa kusema, "hataruduia tena kuwa judge wa American Idol".
Kwenye statement hiyo ya Steven aliandika hivi, "After some long… hard… thoughts… I've decided it's time for me to let go of my mistress American Idol before she boils my rabbit."
Steven mwenye miaka 64 kwa sasa, aliongeza kuwa anarudi yaliko Aerosmith yaliko mapenzi yake zaidi "with two fists in the air and I'm kicking the door open with my band".
Jennifer Lopez nae alitangaza kujiondoa kwake kupitia kwa mwakilishi wake, Mark Young, hapo jana.
Jana asubuhi Jennifer alipiga simu kwenye radio show ya Ryan Searets na kutangaza kwamba anaondoka American Idol alikokuwa kama judge.
"I honestly feel like the time has come that I have to get back to doing the other things that I do."-Jennifer.
Kuondoka kwao kwenye Amrican Idol kunawabakisha Randy Jackson na Ryan Seacret lakini rumours za chini chini ni kuwa Randy anatarajiwa kuondoka muda wowote kwanzia sasa.
Kama Randy ataondoka, macho yote yataelekezwa kwa Ryan Seacrest ili kujua ni hatua gani atakazozichukua.
Sababu za kuondoka kwa majaji hao bado hazijajulikana lakini inawezekana ni kutikana na rating ya show hiyo ilivyoshuka kwa kiwango kikubwa toka mwaka jana.
No comments:
Post a Comment